Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ahamia CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Iringa. Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frenk Mwaisumbe ametangaza kuhama chama chake na kujiunga na CCM.

Mwaisumbe ambaye alishika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka sita hadi alipoachia wadhifa huo Januari mwaka huu.

Akizungumza na wanahabari mjini hapa leo Jumatano Mwaisumbe ametaja sababu za kujiunga na CCM kuwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli za kufufua uchumi wa nchi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakielewi.elimubduni kuelewa nini chadema inafanya.wenyevelimu ya juu kujua ndibwataelewa. Waachevwaende, baadaye wataamka.
    walibebwa bila kujua ugumu wa mambo. Inabidi uwe mvumilivu kuwa chadema

    ReplyDelete
  2. Wapi mwenyekiti wa kudumu a.k.a wa maisha Mbowe......unatuambiaje kuhusu huyu? Na yeye pia hakuwa na faida yoyote kama Lau Macha?? Na bado, mpaka mtabaki mafisadi na wakwepa kodi watupu!! MTAISOMA-NAMBA

    ReplyDelete
  3. Mafisadi wote wakuu walioipeleka tanzania hapa tulipo ni wanaCCM. Ujinga hauwezi kufundishika hata. Waliouza mali za uMMa ni CCM. Waliosaini mikataba mibovu wote ni viongozi wa juu wa CCM. Mbona hamwatumbui. Elimu ni kitu muhimu. Hata Nyerere alisema Ujinga ni adui wa kweli wa maendeleo. Mjinga hafundishiki. Na mjinga ni hatari. Anachokiamini ingawa si cha ukweli, huwezi kumbadili mawazo.

    ReplyDelete

Top Post Ad