Ndoa Yangu Sitoifanya ya Siri Kama wanavyofanya Watu Wengine na Haitakuwa na Kiingilio- Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndoa Yangu Sitoifanya ya Siri Kama wanavyofanya Watu Wengine na Haitakuwa na Kiingilio- Shilole
Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’ amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa yake Desemba, mwaka huu na mpenzi wake Ashirafu Uchebe, lakini sherehe ya ndoa wataifanyia sehemu ya wazi ili kila mtu ahudhurie, hivyo itakuwa haina kadi ya mwaliko.

Shilole ameiambia Kilinge k u w a anamshukuru Mungu, mpenzi wake huyo ameshatoa mahari kubwa nyumbani kwao, kwa hiyo kilichobaki sasa hivi ni ndoa tu na haitakuwa ya kuhudhuriwa na watu maalumu kama wanavyofanya wengine, bali k ila mmoja anaweza kuishuhudia.
“Ndoa yangu sitafanya ya siri kama wanavyofanya watu wengine, nitafanya sehemu ya wazi kabisa na wala haitakuwa na kiingilio hata kidogo, maana napenda ionwe na watu wote na washuhudie kila kin a c hoe ndelea,” alisema Shilole

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad