Picha: Nyalandu Afanya Maamuzi Ajitosa Kumtembelea Lowasa Ofisini Kwake kwa Mazungumzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyalandu Afanya Maamuzi Ahamua Kumtembelea  Lowasa Ofisini Kwake
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amemtembelea Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Nyalandu aliyejiondoa CCM wiki iliyopita leo Jumanne Novemba 7,2017 amemshukuru Lowassa kwa kuonyesha njia kwa wengine kuwa kuna maisha nje ya CCM.

“Mzee wangu nimekuja kujitambulisha na kusema asante kutufungulia mlango,” amesema Nyalandu katika taarifa iliyotolewa na ofisi ya Lowassa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nnavyo jua mimi Lowassa hana Ofisi wala Mshahara.
    Mwenyekiti akibangaiza huwa anampa Posho.
    Au wakichapisha kadi za plastiki na zile za bunge wanazo chota eti vikao.
    Hapo tutamuomba Spika Ndungai azitathmini hizo posho.
    Mue naona wana kunya pesa bila stahiki nazo.
    sasa sijui niwaite Hewa hawapia..??
    nyalandu joto ya jiwe mbaya...!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad