Sibagui Msanii Hata Kama Hajui Kuimba Mimi Nitamuandikia tu- Barnaba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sibagui Msanii Hata Kama Hajui Kuimba Mimi Nitamuandikia tu- Barnaba
Barnaba amedai kuwa hana kasumba ya kubagua wasanii wa kuwaandikia nyimbo. Ameiambia Dizzim Online kuwa kila msanii hata asiyejua kuimba anaweza kupata huduma yake.

“Mimi akija msanii hata kama hajui kuimba mimi nitamuandikia tu,” amesema. “Kwasababu ninachoamini  nyimbo nitakayomuandikia Maua ni tofauti na nitakayomuandikia Gigy Money na nyimbo nitakayomuandikia Vanessa ni tofauti na nitakayomuandikia Shilole. S najua uwezo wa kila msanii,” amesisisitiza.

Barnaba kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Nampaga.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad