Wakati Najiuzulu Nilifanya kwa Nia Yangu Sikuwa Nimepata Barua ya Kufukuzwa CCM- Nyarandu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Najiuzulu Nilifanya kwa Nia Yangu Sikuwa Nimepata Barua ya Kufukuzwa CCM- Nyarandu
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema kuwa hajawahi kupata barua yoyote kutoka CCM inayomfukuza unanacha kama inavyodai.

Mh. Nyalandu ameiambia Bongo5 kuwa ndani ya chama hicho huwa kuna utaratibu na hawamfukuzi mtu kwa barua bali kuna kuwa na vikao vinavyohusiana na maadili hivyo basi amesema tangu awe ndani ya chama hicho hakuna kikao kilichowahi muita kuhusiana na masuala ya maadili.

“Wakati najiuzulu tarehe 30 mwezi Oktoba, nilifanya hivyo kwa nia yangu mwenyewe na kwa uamuzi wangu mwenyewe, sikuwa nimepata barua yoyote kutoka CCM inayonifukuza, kwahiyo dhana ya kwamba kulikuwa na barua yakunifukuza uanachama sio kweli lakini vilevile ikumbukwe kwamba mimi sikuwa mwananchama wa kawaida mimi nilikuwa ni mbunge ana jimbo pili nilikuwa ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na utaratibu wa chama chetu haufukuzwi tu kwa barua huwa kuna vikao vinavyohusiana na maadili huwa vinakaa,” amesema Nyalandu.

“Hakuna kikao chochote tangu niwe mwananchama ambacho kiliwashawahi kuniita kuhusiana na masuala yanayohusiana na maadili, kwahiyo mimi naona tungejikita tu kufanya muktabari wa nchi yetu tufanye siasa za ushindani na turuhusu watu wawe huru na tusisababishe malumbano ambayo hayana sababu yoyote,”ameongeza.

Nyalandu Jumatatu hii ya tarehe 30 Oktoba mwaka huu aliamua kukihama chama cha Mapinduzi (CCM) na kujivua ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa tumekuelewa, tufunge mjadala sasa tuendelee na mengine......yameshapita hayo

    ReplyDelete
  2. Umefukuzwa..;!;!
    Hukufukuzwa....!!!
    Mwisho WA siku haupo.!!!
    What difference does it make?
    Pumbavu weeeeee !!
    Kigangwallah amekuja Na mikakati take ya uboreshaji ikiwrmo waliofanya Ubadhirifu hayo wafumbia macho.
    Na Kama umejua utaamulikea Na umeona pa kujihami uwe nilikueaga Ccm nikaendaga CDM ndiyo sabavu.
    UMEKULA HUU .
    NYALANDU MIE NAANSHISHA CHAMA KIPYA NATAFUTA JINA MUAFAKA.
    UKO TAYALI KUJIUNGA??
    NDUMILA KUWILI.

    ReplyDelete
  3. Mmendelea Na wewe ikiwa kazi Faru amekupa hela au nyiyi mmekula!!!????Na kumzika John wetu.
    Kama ulifikiri tutakunyamazia umekosea.
    Na kudhsni kwa haturolifatilia pia umekosea.
    Na Kama unadha I utaleta hoja kuwa tunakufata kwa Ajili umeingia kwenye Chama cha ukandapia unemosea.
    Hoja Tunayo Na utajieleza.
    Na hatua stahiki itafata.

    ReplyDelete

Top Post Ad