Mama Samia Ahamia Rasmi Dodoma Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Samia Ahamia Rasmi Dodoma Leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ahamia rasmi mjini Dodoma leo. Baada ya Rais Magufuli kuagiza serikali ya Awamu ya tano kuhamia mjini humo.

Akizungumza mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kilimani mjini Dodoma, Samia ameomba wananchi wa mkoa huo kuonyesha ushirikiano katika kufanya kazi ili kulisukuma gurudumu la maendeleo

"Nilikuwa hapa kwa muda mrefu kidogo lakini nilipangiwa kuhamia rasmi leo Desemba 15 na nimefurahi kwamba nitafanya kazi mahala pangu pa kazi pa kudumu," amesema Samia.

Amesema kauli mbiu yake kwa wakazi wa Dodoma ni kuufanya mji huo kuwa wa kijani hivyo Desemba 21 ataendesha mpango wa kupanda miti katika wilaya zote.

"Kwa kuwa nasimamia pia masuala ya mazingira nitaendesha zoezi hilo ili kurudisha hali ya Dodoma," ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wana Dodoma tunakukaribisha Mama Samia Suluhu.
    Mioyo yetu na Milango yetu kama Kawaida Yetu, Iko Wazi juu yenu wote.
    Na kuhusu uchapa Kazi hilo ni letu na tutaongeza juhudi zaidi.
    Uaminifu na Upendo Hili ni Hulka yetu na Jadi Yetu.
    Ushirikiano wetu katika ujenzi wa Taifa letu Hicho ni Kipauble chetu wakati Wote.
    Karibuni sana Dodoma.

    ReplyDelete

Top Post Ad