Mkapa Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti Ili Kuongoza Uchaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkapa Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti Ili Kuongoza Uchaguzi
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameteuliwa muda huu mjini Dodoma kuwa mwenyekiti wa muda wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kuongoza uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa chama hicho.

Hatua hiyo inatokana na Rais John Magufuli kujiuzulu uenyekiti wa chama hicho tawala, ili kupisha taratibu za uchaguzi wa nafasi hiyo.

CCM hufanya chaguzi zake, ikiwa ni pamoja na kumchagua mwenyekiti kila baada ya miaka mitan
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania uwanja wa mpira wa CCM . mpira wa miguu, kichwa na mikono. Ingiza goli tuendelee na raha zetu sisi wachache wajanja. Tutazidi kulindana, kupeana vyeo, na kuhujumu uchumi na kutembeza rushwa mchana kweupe kwa sababu tunauwezo, tunanguvu, tumeshika serikali mkononi, na watu wote wako chini ya miguu yetu hakuna wakutukwamisha.
    Ni huyu mkapa yupo huru, alitaafisha mabenki kuwapa makaburu. Alitaifisha Nyumba za Taifa za umma na kujiuzia wenyewe kwa wenyewe marafiki na kundi lao. Haya ni mali tuliyopoteza kupitia na chini ya uongozi wa huyu huyu Mkapa. Ni huyu aliyejimilikisha migodi Mbeya na mke wake. Na wengi walisaini mikataba hii mibovu ya dhahabu na almasi Shinyanga. na Aliyesaini ni raisi wa awamu ya nne. Leo Tumemyeua Ndugu Chapakazi aka Jembe kutulindia maovu huku akisiwa sana na wananchi ambao hawana uwezo wa kufikiri na kuona wanachezewa tu. Anateuliwa tena na mtu wa ngazi za juu, mtoa maelekezo kumtunuku uenyekiti azidi kufumba macho tena ya wanaCCM kusudi ipite tena na mchezo uleule urudie na Wajinga Watanzania kwa vicheko vikubwa sana watampigia makofi. Bila kuujua huu ni mchezo mchafu. Watanzania wanashindwa kusimama imara kuwaondoa hawa waliolipeleka Taifa mahali pa umaskini na kumkweza bepari wa nje kutuchukulia uchumi wetu. Zamani tulilazimishwa nao sababu hatukuwa na elimu. Nyerere akatutunzia. Wenzetu wakatuzidi maarifa na kumpa bepari utajiri wote, Leo nchi inawaabudu.
    Hivi Watanzania Tumekosa nini kwa Mungu? Ni kweli tu Wajinga namna hii kuwaruhusu watu wachache kutuchezea kisaikologia namna hii bila kujitambua. Ni kweli hatujitambui au ni wajinga kutupwa? Wengine Walikaa kimya kwa muda sasa wanatunukiwa tena. Ndugu Kinana anarudi na siasa zake. Tumesahau ile meli na ndovu?
    Haya bwana.Wapo na Polepole mpiga debe wa kutupwa.

    ReplyDelete
  2. Mkutano wa CCM unaanza huku Chadema wakiswekwa ndani. Ndo demokrasia safi nchini mwetu na Uhuru wa Vyama na usawa na haki tunayoipigania? Kuwa mwanaCCM ni kufumba macho, midomo, akili na kila kitu. Kamwe CCM itakuwa na Makosa hayapo. Ni takatifu na nyeupe na wote ni Malaika. Kwa Wakristo huu ni mwisho wa mwaka, mnamngojea Masiha, Mnaletewa mkombozi. Sijui mnawezaje kumtumikia Mungu na Kaisari kwa namna hii.Na pesa nyingi zitatembea kwa Chritmass. Tutalewa, Zini, na kila kosa. Tutarudi tena kuwa Watakatifu daima na milele. Hakuna kitakachojificha mbele za Mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaha! Hayo ni maneno ya mkosaji piiipooozzz PWAAAA

      Delete

Top Post Ad