Serikali Imeagiza Ekari 129 Zilizotunzwa Kwa Ajili ya Kuzikia Viongozi Zirudishwe Kwa Wananchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


DODOMA: Rais Magufuli ameagiza eka 129 za ardhi iliyopo Iyumbu, ambazo serikali ilikusudia zitumike kwa ajili ya kuzika viongozi zirudishwe kwa wananchi
-
Rais amesema sheria hiyo ilipitishwa kabla hajawa rais ila ana uhakika hakuna kiongozi atakayetaka kuzikwa hapo kwani watapenda kuzikwa kwao
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magu Baba....mungu akuweke.
    Wewe Ni mtetezi WA WANYONGE.
    Tugawieni Arshi sisi wana Dodoma kea kipaumbele. Na mtumimie kihalali. Lukuvu ingia kazini mwanangu...Baba kashaaema. Tafadhali tekeleza na Winde yetu PIA.

    ReplyDelete
  2. Lilikuwa wazo zuri kwa ajili ya kuwaweka viongozi wetu pamoja.

    ReplyDelete
  3. Sidhani...kama lilijuwa wazi muafaka.
    Makaburi kijadi na kitamaduni za makabila yetu. Tunazikia nyumbani... Mimi mwenyewe Mama yangu kafarikia Chennai nchini India. Tumesafirisha mwili na tumezikia Dodoma.
    Mh Job Ndungai baada ya Miaka mingi kupita wameende kuchukua mabaki ya mwili na kuja kuzuia nyumbani toka huko kwenye machimbo. Hii ndiyo hali ya kawaida. Malehemu sitta na Baba Ta Mize go pinda kona Makala wote wanazikia nyumbani

    ReplyDelete

Top Post Ad