Wakati Naoa Sikuwa na Uhakika na Uamuzi Wangu- Tunda Man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Naoa Sikuwa na Uhakika na Uamuzi Wangu- Tunda Man
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man ambaye mwaka huu aliuaga ukapera, amesema alipofanya uamuzi wa kuoa hakuwa na uhakika na uamuzi huo, kwani alihisi kama mwanamke wake hana mapenzi ya dhati na yeye.

Tunda Man ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba kutokana na umaarufu alionao, alikuwa na mashaka iwapo mpenzi wake huyo alikuwa anampenda au alikuwa anafuata umaarufu.
“Kwenye kuoa nilikuwa mguu ndani mguu nje nikijuliza huyu anampenda nani, Tundaman au Khalid, baada ya kukaa naye ndio nimegundua anampenda Khalid na sio Tunda Man, nilikuwa sina uhakika kabisa na ile ndoa”, amesema Tunda Man.
Hivi sasa msanii huyo ameachia kazi mpya inayoitwa 'toto', ambaye mwenyewe amedai ni moja ya kazi bora ambazo amewahi kuzifanya tangu aanze muzik
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad