Wema Sepetu Afunguka Baada ya Kutangaza Nia Yake ya Kurudi CCM "Inanivunja Moyo Najihisi Nimekatishwa Tamaa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu Afunguka Baada ya Kutangaza Nia Yake ya Kurudi CCM "Inanivunja Moyo Najihisi Nimekatishwa Tamaa"
Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye amezungumzia hilo.

Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo kwa sababu maamuzi yalishafikiwa lakini anajihisi kukatishwa tamaa.

“Yaani it so complicated najikuta sipo kwenye position ya kuielezea in simple English or Swahili, siwezi lakini tubaki tu tunaomba Mwenyenzi Mungu kwamba everything it will be ok one day inshallah” Wema ameiambia K Fm, Rwanda.

“I am strong, nisingekuwa strong nisingekuwa hapa sasa hivi najaribu kusali kwa hii hali, muda mwingine kama bidamu inakuwa inanivunja moyo najihisi nimekatishwa tama, yaani ok!  acha nimuachie Mungu” ameongeza.

February 24 mwaka huu Wema alijiunga na Chadema akitokea CCM na December Mosi alitangaza kurudi CCM.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WASANII SIO WANASIASAILA WANAWASHABIKI WENGI.WEMA KUWA NA MSIMAMAMO MMOJA ILI UBAKI NA WASANII AU SIO HUKU HAUKO HUKU HAUKO UTAKULA HUUUUUUUU.

    ReplyDelete
  2. hahaa wemer ndo kitu gani ahamie hata malawi so very stupid hahahah amsalimie tunnu

    ReplyDelete
  3. kisha anazeeka vibayaa uwi anasikitisha kweli na mungu akulaani kama alivyomlaani yule baba mwenye rohombaya kisha hawezi kuzalisha japo ogoo linawika

    ReplyDelete

Top Post Ad