Ambaer Lulu Ateswa na Penzi la Young Dee Akiri Kurudiana Naye Pindi Ataachana na Prezzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ambaer Lulu Ateswa na Penzi la Young Dee Akiri Kurudiana Naye Pindi Ataachana na Prezzo
Msanii wa muziki ambaye alijipatia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii, Amber Lulu, amekiri kuwa bado ana hisia za mapenzi kwa mpenzi wake wa zamani rapper Young D, licha ya kuwa na mtu mwengine kwa sasa.


Amber Lulu ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na rappper wa Kenya Prezzo, amesema Young D ni mmoja wa wanaume ambaye alikuwa na mapenzi naye ya dhati, na iwapo ataachana na Prezzo yupo tayari kurudi kwa Young D, kwani anaamini hata yeye bado anampenda ndio maana huwa anamfanyia vitu vya kumuumiza kama kupost picha zAke za utupu.

“Tulishakuwa pamoja kwa muda mrefu, kuna feelings fulani zipo sometimes munamisiana, unajua nilimpenda sana D lazima kukubali hili jambo, na najua bado kuna mapenzi kati yetu ndio maana hata yeye anafanyaga vitu vya kuniumiza kama kupost ile picha”, amesema Amber Lulu.

Amber Lulu amesema tatizo hilo limefikia hatua hata ya kurushiana vijebe mitandaoni kutokana na wivu uliopo kati yao, na wapo Young D ataamua kumpost mpenzi wake mpya, kitendo hicho kitamuumiza zaidi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad