Arsene Wenger Afungiwa na Chama cha Soka cha England

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Arsene Wenger Afungiwa naa Chama cha Soka cha England
Chama Cha soka cha England FA kimetangaza kumfungia kocha wa club ya Arsenal ya England Arsene Wenger kwa kosa la kutoa maneno yasiokuwa ya kiungwana kwa refa Mike Dean baada ya game ya Arsenal dhidi ya West Ham United iliyomalizika kwa sare ya 1-1.

Kocha huyo raia wa Ufaransa alikuwa na hasira dhidi ya refa Mike Dean ambaye aliwapa penati ya utata West Ham United katika mchezo uliyochezwa siku ya mwaka mpya, Wenger amefungiwa kosa pia la kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo cha  refa Mike Dean.

Wenger ambaye amefungiwa mechi tatu na faini ya pound 40,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 120 baada ya game hiyo alitoa kauli hii ambayo inatafsirika kama kumkosea heshima muamuzi “Maamuzi haya yalikuwa ya kushangaza kidogo, mmemuona (Dean) anafanya anachotaka kitokee, baadhi ya maamuzi msimu huu yamekuwa yakifanywa dhidi yetu sio sawa”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad