Baada ya Simba Kula Kichapo Haji Manara Ajitetea Hivi “Shida Yangu Mimi ni Msemaji na Shabiki wa Hii Timu”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Simba Kula Kichapo Haji Manara Ajitetea “Shida Yangu Mimi ni Msemaji na Shabiki wa Hii Timu”
January 8 2018 wekundu wa Msimbazi Simba walirejea uwanjani kuwania nafasi yao ya kufuzu kucheza nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup 2018 kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo wao wa mwisho wa Kundi A.

Simba walikuwa wanahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuitoa URA ya Uganda ambao wao walikuwa wanahitaji sare pekee ili wafuzu tofauti na Simba ambao walikuwa ni lazima washinde ili kama watataka kusonga mbele.

Bahati haikuwa ya Simba na dakika ya 48 URA wakapata goli la ushindi kupitia kwa Kalama Debossi na kuufanya mchezo umalizike kwa Simba kupoteza kwa goli 1-0 na kuyaaga mashindano hayo, baada ya game afisa habari wa Simba Haji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuwaandikia wanasimba ujumbe huu.



“Kila sentesi niliyoandika nimefuta, hakuna neno linalotosha kuelezea hisia zangu kwa kilichotokea leo Amaan Stadium..nayajua maumivu ya wanasimba….shida yangu mimi ni msemaji kisha shabiki wa hii timu..najua sana pain yenu…but lazma maisha yasonge mbele…🙏🙏”>>>Manara

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad