BREAKING NEWS: Hassanal wa Chedema Ajivua Uanachama na Kujiunga CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Bodi ya wadhamini ambaye pia ni mshauri wa Mameya Dar es salaam Muslim Hassanal amejivua Uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. karibu ccm. chadema itabaki kuwa chadema hata akiondoka Mbowe

    ReplyDelete
  2. Mhindi kachoshwa na kubanwa na serikali. Kavumilia kajiangalia amebanwa na serikali akienda ccm yuko huru pia anakinga.
    Wahindi si wavumilivu sana. Wakibanwa zaidi mara nyingi wanahama nchi pia. Sishangai kwa hili.

    ReplyDelete
  3. Angehama na nchi kabisa kwanza sio mtanzania huyo

    ReplyDelete
  4. Tulitarajia kusikia na huyu nae kanunuliwa na CCM ? Tulitarajia kusikia na huyu nae kakimbia Chadema kutokana na njaa yake? Ni mtu mwenye UWEZO wa kuifadhil Chadema ni miongoni mwa wadhamini. Tulitarajia kusikia Chadema wakisema kahongwa au kakimbilia CCM ili apewe madaraka fulani? Ni mjumbe wa halmashauri kuu ya Chadema ni kigogo mwenye hali yake ma maisha yake. Najua kama kawaida Chadema hawatakosa sababu za kupotosha ukweli wa muheshimiwa Hassanali kukimbia Chadema. Wengine washaanza kusema yakwamba mjumbe wa kamati kuu taifa Chadema kahama kwa sababu za muhindi kachoswa na kutokuwa mvumilivu baada ya kubanwa na serikali ya CCM? Ukimuona mtu anavumilia mateso ya kujitakia ni Mpumbavu na ndio maana ukiangalia wanachama wengi wanaohama kutoka Chadema kwenda CCM hakuna kilaza wengi ni wasomi na watu makini ni watu au vijana ambao unawaona kabisa wanamitazamo mipana zaidi ya kimaendeleo kwa ajili ya maisha yao binafsi na taifa lao . Mficha maradhi au kukataa kuwa ni mgonjwa na kuanza kutoa vijisababu vyengine wakati kweli ni mgonjwa ni taratibu za kujijengea mazingira ya kifo na hicho ndicho kinachoendelea Chadema na baadhi ya vyama vya upinzani nchini. Waache tu waendelee kuilaumu CCM kwa kila kitu bila ya kuanza kujitathmini wao wenyewe kwanza. Tumekuwa tukitoa maoni ya kuikosoa Chadema na sera zake Mbovu sio kwmaba tunachuki na Chadema la hasha. Tunaikosoa Chadema kwa sababu tunaona kabisa sera zao za kupambana na Maghufili badala ya kupambana na shida za wananchi ni kujiangamiza na kujimaliza kisiasa . CCM kitambao tu walishaondoka katika kule ambapo Chadema wanafikiri bado wapo. Chadema bado wanaishitaki CCM ya Mkapa na Kikwete kwa watanzania mabao kwa kipindi kifupi cha utawala wa serikali ya Magufuli wameshashuhudia kitu ambacho unaweza kusema ni maajabu au Tsunami ya mageuzi ya kiuongozi na maendeleo nchini katika sekta mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Tusidanganyane hakuna mkamilfu mbele ya Mungu lakini Mungu amesisitiza ni yakwamba ni ukweli pekee ndio utakao kupelekea kuepukana na dhahama ya kupoteza muelekeo wako. Chadema na upinzani wamepoteza mwelekeo kutoka na kuukana ukweli. Na ukweli ni kwamba Magufuli na serikali yake wanafanya kazi. Wanafanya kazi inayowajengea watanzania matarajio mengi mapya katika maisha yao. Watanzania wengi sasa wanajitolea hata bure kumuunga mkono Magufuli wanaziona na kuridhika na jitihada zake za dhati za kuwatumikia watanzania. Watanzania wanaamini kabisa kutomuunga mkono Magufuli katika mapambano yake kupambana na umasikini ni usaliti. Chadema na upinzani hutafuta kila aina ya sababu ya kuonesha kuwa Magufuli hafai kitu amabacho ni sawa na kuwatukania watanzania wazee wao matusi ya nguoni ni vigumu kukusamehe. Kama demokrasia inasema wengi wape basi Chadema na washirika wake wakati wa kuungana na watanzania kuipa serikali iliopo madarakani ushirikiano kiroho safi na huo ndio uzungu na demokrasia ya kweli. Na kama kuna bifu basi ni suala la kukaa na maamlaka na kulisawadhisha. Si lazima uwe ushirikiano wa kisiasa la hasha. Ushirikiano wa kutatua changamoto inazozikabili taifa hasa za kimaendeleo ni moja kati ya ushirikiano wa maana zaidi. Kwa mtazamo wa haraka zaidi Magufuli ni muumini wa kile anachokiamini na kwa sasa hakuna anchokiammini isipokuwa ni kuamani yakwamba Tanzania ya maendeleo inawezekana bila shaka yeyote . Hicho ndicho kitu Maghufuli akilala anakiota na akiamka anakifanyia kazi hana muda wa kulumbana na wanasiasa. Wapinzani wakati mwengine mnapoteza muda wenu bure kuhangaika nae.

    ReplyDelete
  5. Kabisa ni uzungu na demokrasia kumpongeza anaefanya vizuri lakini kumbuka yakwamba kumwambia ukweli muafrika kuwa alikosea ni sawa na kumkashifu? Na kukubali ukweli kwa muafrika kuwa alikosea ni sawa na kujikashifu na kujishusha kwa hivyo usitarajie upinzani wetu huu wa akina vichwa ngumu Chadema wakimpongeza Magufuli sahau hicho kitu. Ujinga ujinga ni kupinga tu.

    ReplyDelete
  6. Magufuli si Mungu wa Tanzania.

    ReplyDelete
  7. Magufuli si Malaika. Ni binadamu mwenye makosa kama raia wa kawaida.

    ReplyDelete

Top Post Ad