BREAKING: Whatsapp Imeacha Kufanya Kazi kwa Mataifa Mbalimbali Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtu wangu wa nguvu nikusogezee taarifa kuhusiana na Mtandao wa Whatsapp leo December 31, 2017 umekuwa chini kwa mamilioni ya watumiaji ulimwenguni kote, na kusababisha hofu kwa kwa watumiaj hasa kwenye kipindi hiki wakati watu wa nguvu wakiwa wanasubiri Mwaka Mpya.

Watumiaji nchini Uingereza , Barbados, India, Japan, Panama, Afrika Kusini, Hispania, na Qatar wamesema hawakuweza kuungana na programu hiyo kwa kutuma meseji au kupokea wala kuweka Status.

Programu hiyo maarufu ya ujumbe ilitoa tangazo mapema wiki hii na kuelezea kuwa inatazamia kuwa mahiri kwenye mfumo wa iOS na Android kitu ambacho watalaam wanasema kinaweza kuwa kimechangia usumbufu huo unaojitokeza sasa.

“Tunapotarajia  miaka saba ijayo, tunataka kuzingatia jitihada zetu kwenye ambazo simu idadi kubwa ya watu hutumia,” kampuni hiyo imesema katika  majarida mbalimbali.

Mapema kampuni ya Tech imetangaza kuwa kifaa chochote cha BlackBerry kinaendesha BlackBer
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad