Hemedi Akiri Kutoka na Wanawake Watano kwa Siku...Ayajutia Maisha Hayo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hemedi Akri Kutoka na Wanawake Watano  kwa Siku...Ayajutia Maisha Hayo
Msanii wa Bongo Fleva na Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Hemedy PhD amekiri wazi kuwa mtindo wa maisha yake ya miaka ya nyuma kipindi anapata umaarufu yalikuwa ni mabaya kitabia hususani kwenye mahusiano huku akidai kuwa alikuwa anapenda sana mademu.

Hemedy amesema maisha hayo anayajutia hadi leo na amewaasa vijana wenzake kuwa wasiige mtindo huo wa maisha .

Mshindi huyo wa Shindano la Tusker Project Fame amedai kuwa kipindi cha nyuma alikuwa anatembea na wasichana hadi watano kwa siku.

“Sio kitu cha kujivunia kwa sasa hivi ila ni maisha ambayo nimeyapitia na nisingependa viwana wengi ambao wanaonisikiliza sasa hivi wafanye hivyo, Lakini mzee mimi nilikuwa nakula mpaka mashine (Wanawake) watano kwa siku.“amesema Hemedy PhD kwenye kipindi cha Playlist cha Times FM huku akieleza kuwa muda mwingine alikuwa anapangisha Hotel kwa ajili ya kazi hiyo tuu

“Ilikuwa ni panga pangua, Sometimes kabisa najenga kambi Hoteli mzee mimi nafumua tuu” amesema Hemedy PhD .

Hata hivyo Hemedy PhD amesema kuwa mpaka sasa hakumbuki ni mademu wangapi alitembea nao ila anachokumbuka ni kuwa ametembea mademu wengi kipindi cha nyuma alivyoanza kupata umaarufu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad