Huu Hapa Utani wa Manara “Kama Kuna Mchezaji Ananiacha Hoi na Swaga Zake Basi ni Chirwa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Kama Kuna Mchezaji Ananiacha Hoi na Swaga Zake Basi ni Chirwa"- Haji Manara
miaka mingi imekuwa kawaida kwa vilabu vya Simba na Yanga viongozi wake au mashabiki wake kutania, hii inatokana na vilabu hivyo kuitana ni watani wa jadi ambao umeanza katika upinzania wao katika soka.

Afisa habari wa Simba Haji Manara ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuandika maneno ya utani mtandao na kwenda kwa wapinzani na watani zao Yanga, Haji Manara leo ameamua kumtania staa wa Yanga raia wa Zambia Obrey Chirwa kwa kupost picha ya Chirwa na kuandika maneno ya utani.

“Kama kuna mchezaji ananiacha hoi na swaga zake basi ni @obreychirwa ..kaacha matikiti sasa hv anaweka umeme,sasa hapo sijui ndio Gongowazi walipompangia,nahisi hapo Tandale kwa kinyevule😂😂😂”>>> Haji Manara
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad