Kivuko cha Mv Magogoni Chapata Itilafu na Kusababisha Msongamano Mkubwa wa Watu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kivuko cha Mv Magogoni Chapata Itilafu na Kusababisha Msongamano Mkubwa wa Watu
Abiria wanaotumia kivuko eneo la feri wamejikuta wakisota kituoni hapo leo Alhamisi baada ya kivuko kikubwa cha MV Magogoni kupata hitilafu hivyo kubaki vivuko viwili ambavyo vinabeba idadi ndogo ya abiria.

Mwananchi ilifika eneo la kivukoni na kukuta msongamano mkubwa wa abiria wakiwa wanasubiri usafiri huo na wengine wakiamua kuondoka kutokana na kusubiri kwa muda mrefu.

Mmoja wa wasimamizi wa ufundi aliejitambulisha kwa jina moja la Ndunguru amesema tatizo hilo limeanza toka usiku kutokana na MV Magogoni kubeba idadi kubwa ya abiria lazima usumbufu ujitokeze.

“Tatizo limeanza tangu usiku ingawa mimi sio msemaji ila unavyoona mafundi wanaendelea na kazi kuhakikisha tatizo linaisha, kivuko hiki ni kikubwa na kinabeba idadi kubwa ya abiria hivyo kikiaribika lazima usumbufu ujitokeze,” amesema Ndunguru.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad