Lema Ampa Ujumbe Huu Jaji Mkuu "Mahakama Ikiyumba Taifa Linayumba,”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lema Ampa Ujumbe Huu Jaji Mkuu "Mahakama Ikiyumba Taifa Linayumba,”
Baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Juma kuwataka wanasiasa na viongozi wa serikali wenye mamlaka ya kikatiba na sheria kutoingia utendaji wa Mahakama na kuheshimu Muhimili huo. Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema Mahakama ambayo ni imara katika haki inawezaje kukubali kuingiliwa?.

Lema amemwambia Jaji Mkuu huyo kuwa Mahakama inapaswa kujitazama zaidi huku akimueleza kuwa Mahakama ikiyumba taifa limeyumba pia.

“Mh Jaji Mkuu kauli kuhusu wanasiasa na Watendaji wa Serikali kutokuingilia Mahakama ni kauli muhimu kwa wkt huu, lakini Mahakama ambayo ni imara ktk haki inawezaje kukubali kuingiliwa ?Mahakama inapaswa kujitazama zaidi.Mahakama ikiyumba Taifa linayumba,” ameandika Lema kwenye mitandao yake ya kijamii.

Jaji Ibrahimu alisema hayo, January 23 mwaka huu jijini Dar es salaam, wakati akifafanua siku ya maadhimisho ya siku ya sheria nchini yatakayoadhimishwa Februali Mosi Mwaka huu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Godilesi Lema... Swadakta maneno yako. Akitaka Mahakama isiyumbe na Kuyumbisha nchi yetu yenye amani na Utulivu NI LAZIMA WEWE NA KAMA WALIOKUWA KAMA WEWE .. VIBARAKA MNAOTUMIWA NA MABWANA ZETU WOTE MKAE LUPANGO HAPO AMANI NA HESHIMA ITAPATIKANA.
    SASA KWA USHAURI WANGU KWAKO MH LEMA. NI KWAMBA UJITAMBUE NA UTAMBUE KUWA TABIA YAKO NA HULKA ZAKO HAZIENDANI NA MILA ZETU NA DESTURI ZETU. HAPO HAIHITAJI SHERIA NI KWAMBA JAMII IKUTENGE NA KUKUWEKA KUNAPOSTAHILI WEWE NA KUNDI LAKO NA VISAKOZI VYENU VYA KUTAKUTA RUZUKU KWA ULAJI LAINI MPAKA MNAMYIMA MWENZENU NZIGWA.
    MWENYEKIKITI SIJUI NA WENZAKE KINA SUNGULILE NA NA LILE KUNDI SI MNAJIJUA.
    KUWENI NA NIDHAMU NA JAMII ITAKUKARIBISHENI NA MSHIRIKI KATIKA UJENZI WA TANZANIA YETU MPYA. LAKINI SI KAMA MLIVYO SASA... BADILIKENI NA MSIWAINGILIE WAFANYAKAZI WETU WANAO TUPA HUDUMA ZA HAKI KWA MINAJILI YA USAWA NA UPENDO.

    DEMOKLASIA / UDIKTETA / UKANDA.... NDIYO NYIMBO ZENU ...!! CHA AJABU NI KWAMBA SISI WATANZANIA TUMEKUSTUKIENI NA MNAZICHEZA WENYEWE. WENYE AKILI ZAO WOTE WAMESHAONDOKA NA WAONDOKA ...MTABAKI KAMA ZITO ANAFUNGUA MLANGO ANA CHAJI PS4 ANACHEZA GEMU ZAKE AKIMALIZA ANAUSINDIKA MLANGO ...ANASEPEA KWA KINA NANI WALE.....!!! MPE SALAMU ZANGU MH MRISHO KAMA UTAKUTANA NAE. KIBOKO YAKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad