Maneno ya Mwigulu Nchemba Baada ya Nabii Tito Kukamatwa na Polisi " “Udhalilishaji wa Aina Yoyote Ile Haukubaliki ''

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno ya Mwigulu Nchemba Baada ya Nabii Tito Kukamatwa na Polisi " “Udhalilishaji wa Aina Yoyote Ile Haukubaliki (Kijinsia,Dini n.k)”
Mchana wa leo January 23, 2018 Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi mmoja wa Dodoma Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito, ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa .

Kupitia ukurasa wake wa instagram Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Mwigulu Nchemba amesema ni kwa tuhuma za udhalilishaji, Namnukuu Dr. Mwigulu >>>  “Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad