Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Ngono na House Girl wa Jirani Yetu

Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu
nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha
kilomita moja toka nyumbani.

Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?

NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...
SHARE HII TAFADHALI
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vumilia dada yangu wanaume wana balaa sana umri si neno ni ushenz wa mtu mlie buyu usimsemeshe ndio wala hapana endeelea na shuguli zako atakuwa keshajuta

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad