Prezzo kumwaga Amber Lulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prezzo kumwaga Amber  Lulu
VIDEO Queen anayekuja juu kwenye Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ ameshtuka kusikia mwanamuziki maarufu wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’ ambaye ni mpenzi wake kuwa amemmwaga na kumtambulisha mwanamke wake mwingine kwenye siku yake ya kuzaliwa.

 Amber aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haamini kama mpenzi wake huyo amempiga kibuti na ni kama kweli atakuwa amepata mwanamke mwingine, basi atakuwa amemdhalilisha mno ukizingatia Prezzo alikuwa tayari ni mwanaume ambaye alishamweka moyoni mwake.

 “Hilo la kutambulisha mwanamke mwingine nimelisikia, lakini kama ni kweli amemtambulisha mwanamke mwingine, atakuwa amenikosea kwa sababu yeye alikubali nimtambulishe hadi kwa ndugu zangu na nilishamweka moyoni,” alisema Amber Lulu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad