Aibu...Wadada wa Mjini Kusagana imekua 'Fashion'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeamka nimekutana na picha ya tomboy mmoja wa mjini na dada mwingine wa mjini aliewahi kuolewa na DJ wa club moja Dar. Huyo tomboy na huyo dada walikua wakiishi kinyumba kama mke na mume. Dada wa mji aliacha mpaka ndoa yake yenye mtoto mmoja akaenda kuishi na huyo mwanamke mwenzake.

Jana mwenye nyumba aliwafukuza kwenye nyumba yake baada ya kuchoka vitendo vyao. Huwa najiuliza mama unaesagana utamlaumu nani mwanao wa kiume akija kuwa shoga? Tunatengeneza kizazi kipi baadae kwa maisha tunayoonyesha watoto wetu? Kusagana kwa siri basi sio mpaka jamii nzima inajua. Kama hao wanapost picha kabisa snapchat wanakiss.

Na wapo wengi wanawake wa mji huu wanasagana. Imekua kama fashion yani kila mwanamke anasagana. Tena wanakushangaa kabisa kwanini wewe hufanyi wakati ni raha.

Kibaya ni kwamba hata walioolewa wapo wanaofanya hiyo michezo. Hivi kwanini mtu usichague kimoja. Kama kusagana sagana acha kumuaibisha mumeo kwenye ujinga wako sababu watu wanakua wanamchora.

Sikatai wanavyofanya sababu ni maisha yao ila kuonyesha jamii ndio kitu sikipendi sababu tunaharibu vizazi vyetu kwa starehe za kipumbavu.

By Mzigua90/JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad