Idriss Sultani: Umaarufu Wangu Wasababisha Wanawake Waniogope

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Idriss Sultani: Umaarufu Wangu Wasababisha Wanawake Waniogope
Mfanyabiashara na mchekeshaji maarufu bongo Idriss Sultani amekiri wazi kwa sasa wanawake wengi na warembo wanamuogopa kuwa naye kwenye mahusiano kutokana na kazi yake pamoja na umaarufu alionao.


Idris amefunguka hayo leo akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni Live kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV nakusema kwamba wanawake wanaoonekana sahihi kwake yaani wenye msimamo, akili na wasio tegemezi wanaogopa kuwa naye kwa  kudhani kwamba  maisha yao yatakuwa yakufatwa fatwa na mapaparazi pamoja na magazeti ya udaku.

Idris ameongeza kuwa wakati mwingine anadhani kazi yake ya uchekeshaji nayo pia ndiyo sababu pia akose wanawake wenye vigezo vyake kwani watu wanahisi kuwa anakuwa hayupo 'serious' katika suala zima la mahusiano.

"Kabla mtu hajakutana na wewe anakuwa ameshakujaji kila kitu kiasi kwamba mpaka anakufikia anaweza kusema huyu dogo kichaa. Wanahisi sisi 'comedian' hatupo serious hawadhani kama tunaweza kupenda lakini cha ajabu wenzetu huko nje ya nchi wanapata wanawake wazuri yaani pisiii kweli kweli.." Idris

Idriss ameongeza kwamba "kuwa mchekeshaji n moja ya kigezo kinachonifanya nisipate 'a proper women' ninayemtaka.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad