Kada wa CCM, Shyrose Bhanji Aukana Ujumbe Ulioandikwa Katika Instagram yake Kuhusu JPM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kada wa CCM, Shyrose Bhanji amuomba radhi Rais Magufuli kwa ujumbe uliosambaa ukitokea katika ukurasa wake wa Instagram. Amesema alidukuliwa

Kupitia akaunti yake ya Instagram ulisambaa ujumbe unaosema ''Sikubaliani na utawala wa Rais JPM, niko tayari kwenda jela"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumechoshwa na hii mitandao ya Jamii, badala ya kuwa msaada imekuwa ni janga sasa, watu wengi wamewehuka hakuna busara tena, sijui kwa nini isifungiwe.Hivi hatuwezi kuwa na maisha bila ya hii mitandao?

    ReplyDelete

Top Post Ad