Kisa Wiivu Shilole Amtimua Dada wa Kazi za Ndani Toka Ameolewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa tangu amekuwa mke halali wa Ashraf Uchebe, haruhusu dada wa kazi ampikie chakula mumewe huyo.

Akizungumza na gazeti hili, Shilole alisema kuwa mastaa wengi wakiingia kwenye ndoa wanajisahau sana kila kitu wanapenda kufanyiwa na mdada wa kazi na ndiyo maana ndoa zao hazidumu.

“Yaani mimi lazima mume wangu ale chakula cha mkono wangu sikubali mdada wa kazi ampikie, ni marufuku kabisa. Nimruhusu, je akinogewa na mapishi ya mkono wake inakuwaje? Chakula napika mwenyewe kuanzia chai mpaka cha jioni,” alisema Shilole. wanavyopakaza, huyo uliyepata picha zake ni kweli,” alisema Uwezo.

Stori: Imelda Mtema

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA ROSA REE FEAT BILLNAS HAPA CHINI:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIO WIVU HUYU ANATAKA VIYUKO TUU.WIVU GANI KWA HUYO ALIEMUOA.

    ReplyDelete
  2. HAKUAMINI KAMA ATAOLEWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad