Mabeste Amwaga Sifa Lukuki kwa Mkewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mabeste Amwaga Sifa Lukuki kwa Mkewe
Msanii wa muziki Bongo, Mabeste amemwaga sifa lukuki kwa mke wake Lisa Fickenscher ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa (birthday).

Mabeste amemueleza Lisa moja ya vitu ambavyo hajutii ni kumuoa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Happy Birthday My Love, Sina cha kusema Zaidi ya Kusema nakupenda Saana Mama Wa Watoto wangu … Wewe Ni Mvumilivu Saaana, Unaupendo Saana, Unahuruma pia.

Kikubwa Zaidi Unaakili saaana, OooH Thanks God Kwa Zawadi Hii,
Kuna Msemo Unasema Bora Ukosee Kujenga Nyuma But Sio Kuowa, Yaniii Daah Nakupenda Saana Saaana. Kitu kingine kizuri Ulicho Barikiwa kikubwa Saana ,Unapenda Kazi Yangu ya Music Na Unajuwa Music Nzuri Ukisikia tu..Japo kuimba Ujui.

Leo ni siku Kubwa saana Kwako na Kwangu Pia..Coz Leo ndio Naachia New Track #SIJUI …Leo Mama Wa Watoto wangu Umezaliwa Upya katika Bwana Yesu ,& Hata Kipaji Changu Leo Kimezaliwa Upya Katika Jina LA Bwana wetu Yesu … Kwenye Upendo Sana Mungu Yuko Muda Wote..Coz Mungu Ni Upendo..Tutafika Safari yetu Japo Changamoto ni Nyingi..I Love u Saana.

Mabeste na mkewe, Lisa Fickenscher walifunga ndoa mwaka 2016 na hadi sasa wamejaliwa watoto wawili, Kendrick na Kaylyn.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad