Mh. Lema apewa ujumbe mzito na mke wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mh. Lema apewa ujumbe mzito na mke wake
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kufungwa mke wake amemuambia kuwa maisha ya siasa yanaendelea kuwa magumu sana.
Lema amesema kuwa Mke wake amemueleza kuwa kazi yao kwasasa imekuwa ni kuzika, mahakamani, polisi, hospitali na magereza.
Baada ya Sugu kufungwa,Mke wangu aliniambia”Godbless maisha ya Siasa yanaendelea kuwa magumu sana,kazi yenu sasa imekuwa ni kuzika, mahakamani,Polisi,Hospital na magereza” Mkti anasemaje?Mpeni moyo sana,mnapaswa kuilazimisha furaha ili msipoteze Imani na matumaini.unarudi lini,” ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.
 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hiyo....?? anatutangazia 'wananzengo' ili iweje...?? Nyinyi pambaneni na hali zenu, si mnajifanya MUCH-KNOW, mnapelekwa pelekwa na shost'enu mange kimavi.....mtajutraaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad