Mtolea: Kusamehewa Babu Seya na Mwanaye Halikua Jambo Jema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtolea:  Kusamehewa Babu Seya na Mwanaye Halikua Jambo Jema
Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya (CUF) Mhe. Abdalah Mtolea ameibua sakata la kusamehewa Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza 'Papii Kocha' na kusema halikuwa jambo jema kwa kuwa watu hao mahakama iliwabaini kuwa ni wabakaji.


Mtolea amesema hayo leo Februari 7, 2018 akiwa bungeni na kudai kitendo cha watu hao kuachiwa na kupewa heshima na Serikali ikiwa pamoja na kuwapandisha kwenye majukwaa mbalimbali na kuwapa ufadhili haileti picha nzuri kwa jamii.

"Kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika ukatoka msamaha kwa Babu Seya na wenzake watu ambao pasipo na shaka mahakama zilithibitisha kwamba hawa watu ni wabakaji sasa tunapokuwa tunasamehe wabakaji uko wapi ulinzi wa watoto wa taifa hili,tunawapandisha kwenye majukwaa wafanye show yaani tunawaona kwamba ni kioo cha jamii je wanafundisha nini? Alihoji

Mhe. Mtolea aliendelea kusema kuwa "Je, mnataka kwamba siku ya mwisho tukiwauliza watoto ukiwa mkubwa unataka kuwa kama nani aseme nataka kuwa mbakaji?

Babu Seya na mwanaye Papii wanategemea kuachia kazi yao mpya muda si mrefu baada ya kuiaanda mara tu baada ya kupewa msamaha na Rais John Pombe Magufuli
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad