VIDEO: Zari Atoboa Siri Rasmi Kuachana na Diamond, Amwanika Vibaya “Kukumbatiana na ma X Kwenye Public”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinumz amefunguka kuhusu sababu za kuachana na C.E.O huyo wa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), amesema Diamond hakutegemea alichokipost kwani siku kabla ya kuachana walikuwa wamechuniana kwa takribani muda wa wiki tatu mfululizo, huku akiwa ameifungia simu yake, ”Block”.

Zari akiwa nchini Uingereza amepata nafasi ya kuzungumza na BBC  Swahili na kufunguka kila kitu kuhusu ishu nzima mpaka kufikia maamuzi hayo ya kutangaza kwenye akaunti yake ya instagram kuachana na Diamond katika siku ya wapendanao.

‘’Kwanza I didn’t think ali expect my post he didn’t see it coming ,nimekaa sana mda mrefu nikajifikiria vitu vingi nikasema unajua ni nini I need to post this, I  need to end this..tulikuwa tuna jaribu ku move forward kuhusu hiyo skendo eti amepata mtoto, lakini leo unasikia hivi unaona vile eti kukumbatiana na ma x kwenye public ni vitu vya kunidharirisha vitu vya kunifanya niwe very disrespected na watoto wangu’’, amesema Zari.

Zari amesema saivi hata akitembea kwa miguu kwenda kumuomba msamaha hawezi kumsamehe kwa sababu Imani juu yake imekwisha, na amesema kwa sasa hahitaji kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine.

Ameongezea kuwa wale wanao dhani ni kiki hawajaachana Zari amesema ni kweli wameachana na tangu kusambaa picha za Diamoni akikumbatiana na  EX wake ambaye ni Madam  Wema Sepetu, Zari amesema alimzimia simu na hawakuweza kuongea kwa wiki tatu na kisha akaamua kuchukua uamuzi wa kuachana nae.

Zari pia amezungumzia mipango yake ya hivi sasa ambapo amesema atakuwa anafanya vitu vingi ikiwemo kuendesha biashara na kazi zake ambazo amekuwa akifanya ikiwemo kusimamia shule yake iliyopo Afrika Kusini, kufanya matangazo na hivi karibuni anakuja na kipindi chake sehemu ya pili ya show yake ijulikanayo kama reality show.

Tazama Video hapa chini:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. then move on cos dai haja kuoa na wewe ulimkuta yuko na wema so tit for tat its a fair game shukuru dai amekufanya maarufu so move on to seek people sympathy

    ReplyDelete
    Replies
    1. SI KWELI KWAMBA ALIMKUTA NA WEMA, WEMA ALICHAMWACHA DAIMOND, KUMBUKA HILO NI WEMA NDIE ALIMWACHA DAIMOND NA SI VINGINEVYO.

      Delete
    2. Anonymous 10:03 jikumbushe interview ya Wema alipoenda kunadi mimba yake feki. Kama sikosei ilikuwa Clouds na aliongozana na Idriss. Alitamka hadharani kuwa ni yeye ndie alie amua kumuacha Dai. Wakati Dai anaanza mahusiano na Zari alikuwa single ingawa alikuwa na michepuko kama kawaida yake. Tumia busara kidogo. Zari ha seek sympathy bali anaeleza ukweli wa mambo.

      Delete
  2. The right decision ever. wanaume wengine hawajui wanachotaka

    ReplyDelete
  3. The right decision ever. wanaume wengine hawajui wanachotaka

    ReplyDelete

Top Post Ad