Bodi ya Mikopo Yavunjwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bodi ya Mikopo YavunjwaMkuu wa Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, Juma Sweda ameivunja bodi ya chama cha kuweka na kukopa fedha kwa vijana wilayani humo baada ya kugundulika watumishi 25 na wajumbe kujipatia jumla ya fedha Milioni 17 kinyume na utaratibu.


Bw. Sweda amefanya maamuzi hayo kufuatia watumishi hao kujiunga kwenye chama hicho bila kuwa na sifa pamoja na kushindwa kurejesha fedha walizokopa tangu mwaka 2014 na kuagiza Jeshi la Polisi wilayani Misungwi mkoani humo kuwakamata.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuwa ili kukinusuru chama hicho ameivunja bodi hiyo ili kuweza kupata viongozi watakaokuwa na sifa lakini pia na wanachama wenye sifa ya kuwa vijana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad