Donald Trump Ameporomoka Orodha ya Matajiri Duniani, Bill Gates Ashushwa Nafasi ya Kwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Donald Trump Ameporomoka Orodha ya Matajiri Duniani, Bill Gates Ashushwa Nafasi ya Kwanza
Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu matajiri duniani, Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump ameporomoka kwa nafasi takribani 200.

Trump ametajwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3.1 huku akishika nafasi ya 766 ambayo inashikiliwa na watu wengine takribani 25.

Utajiri wa Rais huyo wa Marekani umetajwa kushuka kwa dola milioni 400 ambapo kwa mwaka jana alitangazwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3.5.




Katika orodha hiyo mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos anashika nafasi ya kwanza akiwa na utajiri wa dola bilioni 112 akimbwaga Bill Gates anayeshika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa dola bilioni 90.

Wakati huo huo mwanzilishi wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg anashika nafasi ya tano akiwa na utajiri wa dola bilioni 71. Aliko Dangote kutoka Afrika anashika nafasi ya 100 akiwa na utajiri wa dola bilioni 14.1.

Naye Mohammed Dewj wa Tanzania anashika nafasi ya 1561 akiwa na utajiri wa doala bilioni 1.5.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad