Rais Magufuli Apokea kwa Masikitiko Kifo cha Dkt. Kaburu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli Apokea kwa Masikitiko Kifo cha Dkt. Kaburu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitizo kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, Dkt Walid Amani Kaburu kilichotokea usiku wa kuamkia leo Machi 7, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu

“Kwa masikitiko nimepokea taarifa ya kifo cha Mwenyekiti Mstaafu waCCM, Mkoa wa Kigoma, Dkt Walid Amani Kaburu kilichotokea usiku wa kuamkia leo Machi 7, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu..

“Dkt Walid Amani Kaburu atakumbukwa kwa mchango wake alipokuwa kiongozi katika nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM, na alipokuwa Mbunge wa Kigoma Mjini na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki,” amesema Rais Dkt Magufuli katika salam zake za rambirambi zilizotolewa kwa umma na Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad