Ray C Yamemfika Hapa Aamua Kuwatumia Ujumbe Mzito Marafiki Zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ray C Yamemfika Hapa Aamua Kuwatumia Ujumbe Mzito kwa Marafiki Zake
Staa mkongwe katika game ya muziki nchini Rehema Chalamila maaraufu kama “Ray C” ameamua kutoa ushauri kwa jamii kuhusu marafiki ambao wamejaa usaliti na kuwataka wakae mbali na kuwalinganisha na nyoka ambao mbele ya macho yako hujifanya wazuri wakati nyuma ni wabaya wako

Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray C ameandika ujumbe huo nakusema

“Ukiona rafiki kakugeuka usije thubutu kuwa nae karibu tena huyo ni zaidi ya nyoka tena bora nyoka ukikutana naye harembi kujifanyisha mzuri kwako anakugonga tu fasta kabla hujamdhuru kuliko anayejifanya kwako mzuri ukigeuka anakun’gon’ga Rafiki Mashwain kibao mjini!☠😈#Chefusikidogo🚶‍♀️“

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad