Sijaona Tatizo Kwenye Wimbo wa Diamond wa Hallelujah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.

Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu ambao wanajaribu kufikia level za kimataifa kwa juhudi zao wenyewe, Kwa mimi binafsi ningeipa hongera Basata na Wizara husika wangekuwa mara kwa mara wakikaa na hawa vijana na kuwapa elimu jinsi ya kuweza kufanya ili wafaidike na kazi zao za sanaa badala ya kujenga uadui ambao unaonekana kama ni kutafuta kiki ili waonekane wanafanya kazi..

By Jorome
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huwezi kuliona tatizo, ila wachungaji na mapadre 'weme-kasirishwa' na kitendo cha domo kuimba haleluya ktk nyimbo za kidunia badala ya nyimbo za dini...... upo??

    ReplyDelete

Top Post Ad