Uchunguzi wa UN wa mauaji ya Wanajeshi wa Tanzania Congo Umeonesha Kuna Mapungufu Katika Mafunzo ya vikosi vyake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Umoja wa Mataifa umesema uchunguzi wa mashambulizi yaliyowauwa Wanajeshi 15 wa kulinda Amani wa Tanzania waliokuwepo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, umeonesha mapungufu katika mafunzo yanayotolewa kwa Vikosi vyake.

Shambulio lililosababisha mauaji hayo lilitekelezwa na Waasi katika Kambi iliyopo huko Beni katika eneo la Kivu Kaskazini na lilikuwa shambulio baya zaidi kuwahi kutoka

From the Source:

The United Nations on Friday conceded that an attack that killed 15 peacekeepers in the Democratic Republic of Congo late last year exposed "gaps" in how UN troops are trained.

The December 7 attack in the Beni territory of North Kivu province was one of the worst to target UN peacekeepers in recent history in the country.

Fifteen Tanzanians were killed and 43 other peacekeepers wounded.

It was the bloodiest attack against MONUSCO, the UN force deployed in DR Congo since 1999, and the worst against a UN force since the death of 24 Pakistani peacekeepers in Somalia in June 1993, leading to a special UN investigation.

UN investigators were tasked with evaluating the response of the UN peacekeepers and making recommendations on how to prevent such violence.

"The team found a number of gaps in the training and posture of MONUSCO and its Force Intervention Brigade," the United Nations said in a statement Friday.

"Moreover, the investigation team noted that the mission did not have an actionable contingency plan to reinforce and extract its peacekeepers during the attack. 

"Issues of command-and-control, leadership and lack of essential enablers such as aviation, engineers and intelligence were also major obstacles and need to be addressed urgently," it added.

UN Secretary-General Antonio Guterres had appointed Dmitry Titov, a Russian who has worked in UN peacekeeping, to lead the special investigation.

The United Nations had said the ambush was carried out by suspected ADF rebels, a shadowy group dominated by hardline Ugandan Muslims that is one of several armed groups active in the North Kivu region.

Citing the conclusions of the investigation, the world body said Friday that "all available evidence" pointed to the ADF as the culprits.

A UN report made public last month recommended that UN peacekeeping forces change the way they operate and not shy away from using force to reverse a worrying trend of escalating fatalities.

DR Congo's east has long been wracked by violence, but fighting between government soldiers and militia groups, as well as inter-ethnic clashes, increased in 2017.

Source: New Vision
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo la tafsiri ya lugha katika kuwasilisha makala hii kutoka kiengereza kuja kiswhali ndio shida. Kwa kifupi ukosefu wa umoja wa mataifa kuwapatia wanajeshi wake mafunzo ya kutosha inawezekana imechangia wanajeshi wa Tanzania kushambuliwa. Kumbuka jeshi ni la kulinda amani sio la mapambano kwa hivyo ni sawa na wachezaji kuamua kwenda kumpiga referee. Majukumu ya jeshi la kulinda amani wana mafunzo na taratibu tofauti kabisa na jeshi liloandaliwa kwenda kupigana. Jeshi letu la Tanzania limeandaliwa kwa mapambano zaidi kuliko kwenda kutizama tu. Kitu kingine kwa kuwa uovu ule umethibitishwa kuwa unachembe za kidini watanzania tunayohaki ya kuliunganisha tukio lile na kikundi cha magaidi wa KIBITI kama walikuwa na coordination ya aina yeyote ile na waghasi hao wa kidini wa kiislam wa Uganda . Na ingekuwa vizuri serikali ya Tanzania ikatumia wataalamu wake kijeshi na intelijensi kufanya uchunguzi wao binafsi ili kuupata mifano au pengine serikali inajua tayari nini kiliendelea .

    ReplyDelete

Top Post Ad