Ujumbe wa Lady Jaydee, Salama, Batuli na Mimi Mars Katika Siku ya Wanawake Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ujumbe wa Lady Jaydee, Salama, Batuli na Mimi Mars Katika Siku ya Wanawake Duniani
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Dunia watu mbali mbali wamekuwa na la kuzungumza katika siku hiyo muhimu.

Wasanii wa muziki, waigizaji na watangazaji wa kike wametumia mitandao ya kijamii kuizungumzia siku hiyo. Hivi ndivyo walivyoandika Lady Jaydee, Salama, Batuli na Mimi Mars
mimi_mvrs11HAPPY WOMENS DAY TO ALL THE FEMALES IN THE WORLD! God Bless Us and cheers to our day 🥂although we know WE RUN THE WORLD GIRLS 💪🏾 and let’s try support and empower each other this year and forever 🙏🏾 Let’s refuse to hate on each other Buh encourage and uplift our spirits because together We Are Magic 😃❤ LOVE YOU SISTERS✌🏽
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Najipa Tuzo 3 za mwanamke jasiri mimi mwenyewe kwasababu nafahamu fika kuwa nastahili 🥇 🥈 🥉 . Shauri yako kama unasubiri kulala na mtu ili kupewa
officialbatuliactressNguvu Yetu Haina Mfano Katika Dunia
Uwingi Wetu Huonyesha Wazi Sisi Ndio Wenye Dunia
Tunapatikana Kila Mahala Na Tukikosekana Mambo Hayaendi Sawa
Hakuna Nyumba Inakosa Mwanamke Ila Zipo Nyumba Hazina Wanaume 💪🏾
Happy Women’s Day World 😘
#LetsCelebrateOurDay💕
#TagWanawakeTu
#ShowLove❤

Dear Always, Kama Tu Mkiweza Tengeneza Pedi Zishochuna Na Kuwasha Mngekua Mashujaa Zaidi Kwa Wengi Wetu... Happy Thank You!

Kihistoria, siku hiyo ilianza kwanza kwa kuitwa siku ya wafanyakazi wanawake ya kimataifa.

Maadhimisho yalianza March 8, 1857 baada ya wafanyakazi katika kiwanda cha nguo jijini New York nchini Marekani kugoma kutokana na mazingira mabaya ya kazi hali hiyo ilipelekea takribani wanawake 129 walipoteza maisha kutokana na moto kiwandani hapo

Mwaka 1910, nchini Denmark kulifanyika kongamano kuwakumbuka wanawake hao waliofariki na walipitisha kuwa March 8 ya kila mwaka, ifanyike siku ya Wanawake Duniani.

December 1977, Baraza Kuu la UN lilipitisha na kutangaza kuadhimisha Siku ya Haki za Wanawake na Amani ya Kimataifa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad