Baba Mzazi Masogange: Mwanangu A gnes AliishiaKidato cha Pili Niligombana Naye Kisa Usanii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba Mzazi Masogange: Mwanangu A gnes AliishiaKidato cha Pili Niligombana Naye Kisa Usanii
BABA mzazi wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’, Mzee Gerald Waya amefunguka alivyokuwa akigombana na mwanaye huyo akimsihi aachane na mambo ya usanii, kwani mzee huyo alikuwa hayapendi.

Akizungumza mara baada ya mazishi ya mwanaye, Mzee Waya alisema; “Mwanangu alikomea kidato cha pili lakini hata kidato  cha pili hakumaliza kwa sababu ya matatizo. Kuna wakati nilikorofishana naye nikamwambia mimi mambo ya usanii sitaki, akanijibu, ‘sasa baba mimi nitafanya kazi gani wakati unafahamu tangu niko kanisani nilikuwa naimba kwaya?’ Baada ya muda tulikutana tena, tukalimaliza suala hilo, nikamruhusu,” alisema Mzee Gerald.

Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao Mbeya ambako alizikwa jana Aprili 24, 2018 kijijini kwao Utengule, Mbalizi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad