Hacketrs Waondoa Wimbo wa Despacito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

boHacketrs Waondoa Wimbo wa DespacitoHATARI sana! Mtandao wa YouTube umeingiliwa na wadukuzi ‘hackers’ walioondoa wimbo uliofanya vizuri zaidi kwa kutazamwa na zaidi ya watu bilioni tano, Despacito.



Wimbo huo ulioimbwa na mwanamuziki Luis Fonsi, ulidukuliwa kwenye mtandao huo na wadukuzi hao kuweka picha ya watu waliovaa maski, huku wakiwa wameshika bunduki.


Baada ya kitendo hicho, mashabiki wengi waliandika kwenye mtandao wa Twitter wakitoa maoni yao na baadaye Mtandao wa YouTube, ulifanya juhudi na kuurudisha hewani.



Hata hivyo, iligundulika pia nyimbo za wanamuziki wengine kama Selena Gomez, Justin Bieber, Drake, Taylor Swift, Chris Brown, Shakira, DJ Snake na Katy Perry zilikuwa zimeondolewa, na YouTube waliweza kuzirudisha zote mtandaoni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad