Maya Afunguka Kumchamba JB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maya Afunguka Kumchamba JB
STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe, Jacob Steven ‘JB’ kuwa watu wamemuelewa vibaya.

Juzikati, Maya aliweka picha ya JB kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha na maneno yaliyos-omeka: “We baba wewe sisi tumeku-kosea nini wewe wa kutufanyia vile sisi? Au tuongee humu walimwengu wajue? Haya turudishe kabla ya saa 2 otherwise…”
 
Alipoulizwa kuhusu ujumbe huo uliozua tafrani, Maya alifafanua: “Unajua JB ni baba yetu sisi wote hivyo ile ilikuwa ni utani tu wa kawaida nilikuwa ninamtania tu kwa hiyo mashabiki wangu wasidhani kama nilikuwa namaanisha… yule ni baba yetu sisi Bongo Muvi na tunampenda sana na kumuheshimu,” alisema Maya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad