Mzazi Mwenzie Alikiba Atoa Maneno Mazito " Nenda Somo Yangu Usiniangushe Mimi Leo Naenda Kama Mama K"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzazi Mwenzie Alikiba Kuhudhulia Harusi ya X- Wake
Mzazi mwenzie na msanii Alikiba Devotha ambaye amezaa naye mtoto wa kiume anayefahamika zaidi kwa jina la Unju amefunguka mazito katika siku maalum ya msanii Alikiba ambaye anaoa leo April 19, 2018 na kuonyesha jinsi gani yeye ametoa baraka kwa Alikiba kuoa.

Mama Unju amesema kuwa yeye atahudhuria katika harusi hiyo ila anakwenda kama mama wa Alikiba na kudai kuwa msanii huyo amekuwa baba bora siku zote na kumtakia aendele hivyo hivyo hata baada ya kuoa.

"Leo ni siku yako maalum Kiande wangu, rafiki yangu na baba bora Alikiba, baba usiniangushe somo yako. Mungu akusimamie katika ndoa yako. Mimi leo naenda kama Mama K, ukawe mume bora na ujali familia zote, nenda mwanangu" alimalizia Mama Unju.

Ndoa ya msanii Alikiba inafanyika nchini Kenya katika mji wa Mombasa leo April 19, 2016 ambapo msanii huyo atachukua jiko lakini pia inategemewa kufanyika sherehe nyingine nchini Tanzania siku za karibuni ndani ya mwezi huu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rudi home wewe rudi nyumbani .kawaambie nimeshapata ANAENIPENDA.JINA SIO SINDERELA

    ReplyDelete
  2. NAULIZA NDOA IMEPITA KULE KENYA KAFUNGIA NDOA KENYA , SASA CHETI CHA NDOA NI CHA KENYA , SWALI LANGU NI HIVI. NI ALKIBA KAOLEWA KENYA ??? AU CHETI ATAPEWA CHETI CHA WAPI???? SABAU NDOA INATAKIWA KUFUNGIWA UPANDE WA MUME. AU NDOA HAUJAFUNGWA WAMEENDA KUMCHUKUWA TU???

    ReplyDelete

Top Post Ad