Rais Magufuli: Najua Wapo Watakaotumika Kuleta Vikwazo vya Maendeleo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli: Najua Wapo Watakaotumika Kuleta Vikwazo vya MaendeleoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema anajua wapo watakaotumika kuleta vikwazo kwenye hatua anazopiga za kuiletea maendeleo nchi.
Akizungumza kwenye uzinduzi wa jengo la PSPF mkoani Dodoma, Rais Magufuli amesema kwamba wapo ambao hawapen
di kuona Tanzania inapiga hatua kwenye uchumi, hivyo watu watatumika na mabeberu kuleta vipingamizi na vikwazo, lakini yeye ataendelea kuchapa kazi kwa ajili ya watanzania masikini.
“Katika juhudi hizi za kuleta maendeleo wapo wengine watasaliti njiani, wapo wengine watatumika na mbinu za mabeberu, na hasa katika masuala haya ya kujenga nchi yetu, na hasa kwa sababu nchi yetu inakwenda mbele, ni lazima itawakwaza wengine, katika jukumu lolote la kazi hata kwenye familia, lazima watapatikana wa kupinga pinga kidogo, lakini kikubwa ni kunyoosha mstari kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania masikini”, amesema Rais Magufuli.
Sambamba na hilko Rais Magufuli amemuhakikishia mtoto wa Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere, Makongoro Nyerere, kuwa nchi ipo salama na imara, na anaamini itafika ikiwa imara zaidi licha ya vikwazo vingi anavyokutana navyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad