VIDEO:Rihama Amwaga Chozi kwa Uchungu Ataka Waandaaji wa Tuzo za Sinema Zetu Wamuombe Radhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIDEO:Rihama Amwaga Chozi kwa  Uchungu Ataka Waandaaji wa Tuzo za Sinema Zetu Wamuombe Radhi
Muigizaji Nguli wa filamu za Kibongo Rihama Ali amejikuta akitokwa na machozi na kulia kwa uchungu live wakati akihojiwa kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa na clouds baada ya kupata matusi na kuzarauliwa na mashabiki zake baada ya kukosa tuzo hizo.

 Rihama amesema  kitendo walichomfanyia waandaaji wa Tuzo za  hizo akikumfurahisha na hatokisahau maishani mwake kwakua heshima inashuka wakati hakuhusishwa katika tuzo hizo toka zinaanza matokeo yake wanaamua kuandaa shindano kwa lengo la kumshusha heshima.

"Nimeumia sana sana lengo lao ni kunishushia heshima mimi sikujua lolote linaloendelea chakushangaza naambulia matusi kutoka kwa mashabiki zangu mimi Tamko langu nataka waniombe Radhi sivyo wasinihusishe kwenye tuzo zao na hata wasije kunipa tuzo ya heshima hata nitakapokufa' alisema Rihama

' Hata kama walikua na mambo yao wangefanya bila ya kunihusisha mimi' mimi ni brand ambassader wao wanataka kuniharibia kazi yangu mimi sideal na mtu kwanini wanataka kunizibia riziki yangu  kazi yangu ndo inanisaidia kulea familia yangu nimeumia na hili kovu halitakuja kufutika na linaweza kunivunja moyo nikaona makubwa niliyofanya si kitu na kama hawataniomba radhi wasiniusishe milele

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rihama wewe ni muigizaji bora huyo Wema sepetu hana kipaji chochote cha uigizaji pia cha uanamitindo vyote hivyo hana hayo mapicha yake anayopiga yuko yuko tu hata picha hazionyeshi kuwa yeye ni mwanamitindo mtu huwezi tu kukurupuka kuwa mwigizaji au mwanamitindo wakati kipaji huna na huyo ambaye anampiga picha za foto shoot naye atakuwa hana umaarufu wowote wa uanamitindo, Rihama wewe ndiyo ungetakiwa kupata tuzo maana kipaji unacho, wewe ndiyo nakuona unacho kipaji cha uigizaji kuliko waigizaji wote wa kike bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad