Afukuzwa Chuo Kwa Kunuka Miguu...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo May 25, 2018 Nakusogezea stori kumhusu kijana Teunis Tenbrook raia wa Uholanzi amefukuzwa katika chuo kikuu cha Erasmus  cha jijini Rotterdam cha nchini humo kwa sababu ya kunuka miguu sana.

Baadhi ya wafanyakazi wa maktaba ya chuo hicho wamesema kuwa wamekuwa wakipata shida sana kufanya kazi kwa sababu kijana huyo miguu yake inatoa harufu mbaya mno hadi wanashindwa kutimiza majukumu yao.

Hata hivyo mwanachuo huyo anayesomea shahada ya falsafa amekishtaki chuo hicho na kushinda kesi hiyo huku Jaji aliyesikiliza kesi akiamuru kuwa wafanyakazi wa chuo hicho inawabidi “wazibe pua zao ili wasinuse harufu hiyo”.

Aidha tatizo la kunuka miguu imeripoitwa kuwasumbua wanafunzi wengi vijana
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad