Baada ya Kutandikwa Bao Nne Yanga Kurejea Dar Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kutandikwa Bao Nne Yanga Kurejea Dar Leo
Baada ya kupoteza mchezo wa jana ukiwa ni wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kikosi cha Yanga kinatarajia kuanza safari ya kurejea nchini leo.

Yanga ilikubali kuanza vibaya dhidi ya USM Alger kwa kufungwa idadi ya mabao 4-0, mechi ikipigwa majira ya saa 4 usiku wa jana.

Yanga itaanza safari yake kwa kupitia nchini Dubai kisha kuanza tena safari ya kuendelea kurejea Tanzania.

Matokeo hayo ni mwanzo mbaya kwa Yana kutokana na kipigo hicho kikali ambapo sasa inahitaji kuweka nguvu nyingi katika michezo mingine itakayofuata kwenye kundi hilo.

Ukiachana na USM Alger, ikumbukwe Yanga ipo na timu za Rayon Sports ya Rwanda na Gor Mahia FC ya Kenya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad