Harmonize Atoboa Siri Video ya Hamisa Mobetto na Daimond Kuvuja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize Atoboa Siri Video ya Hamisa Mobetto na Daimond Kuvuja
Msanii Harmonize amedai kuwa video ya faragha iliyovuja mtandaoni ikimuonyesha Diamond akiwa na wanawake wawili ambao miongoni mwao alikuwepo Hamisa Mobetto, ilikuwa ni sehemu ndogo ya movie waliyokuwa waki-shoot.

Harmonize ameiambia Citizen Radio kuwa movie hiyo inalenga kuwafundisha wanaume ambao wamekuwa na tabia za kuwadhalilisha wanawake.

“Walikuwa wanashuti movie ambayo inaelezea wanaume ambao wanadhalilisha wanawake. Sasa ili iweze kuleta attention, ile iweze kulata item of bisness, iweze kuleta value wakamtumia Diamond kama mtu ambaye ameshaonekana katika mahusiano tofauti tofauti,” amesema Harmonize.

Utakumbuka April 19, 2018 Diamond Platnumz aliomba radhi Watanzania kutokana na kusambaza video hizo, hiyo ilikuwa ni baada ya kuitwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo alisema kuwa amejifunza sheria za makosa ya kimtandao na kuhaidi kutorudia tena.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad