Inasikitisha! Muuguzi Auawa Kikatili Kisha Mwili Wake Wafukiwa Pembezoni mwa Nyumba Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Inasikitisha! Muuguzi Auawa Kikatili Kisha Mwili Wake Wafukiwa Pembezoni mwa Nyumba Yake
Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Rosemary Mgombela anadaiwa kuuawa na kisha mwili wake kufukiwa pembeni ya nyumba yake.

Shangazi wa marehemu Veronica Mapunda amesimulia ilivyokuwa huku akimshuku mume wa marehemu huyo kuhusika kutokana na malalamiko aliyokuwa anayapata kutoka kwa marehemu kuwa hawaelewani.

Baada ya kutekeleza unyama huo mwanaume inaelezwa kuwa aliuzika mwili wa Mkewe pembezoni mwa nyumba wanayoishi.

Mamia ya Wananchi wamekusanyika kushuhudia tukio la kuufukua mwili huo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad