Kiss Daniel Aamua Kumaliza Mgogoro na Lebo ya G- Worldwide Aamua Kubadilisha Jina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiss Daniel Aamua Kumaliza Mgogoro na Lebo ya  G- Worldwide Aamua Kubadilisha Jina
MKALI wa Ngoma ya No Do na Sofa, Oluwatobiloba Daniel Anidugbe ‘Kiss Daniel’ amebadilisha jina na kuanza kujiita Kizz Daniel.

Ishu hiyo imekuja kutokana na mgogoro wa muda mrefu wa kibiashara kati yake na lebo ya muziki ya zamani ya G-Worldwide iliyokuwa ikisimamia kazi zake ambapo ilifikia hatua ya kumburuza mahakamani kwa madai kuwa amekiuka na kushindwa kutimika vigezo na msharti ya mkataba wa kibiashara waliokuwa wamesaini kisha wakamtaka asitumie jina la Kiss Daniel kwa kuwa ni mali yao.

Kiss Daniel, baada ya kuvunjika kwa mkataba wake na G-Worldwide alianzisha lebo yake iitwayo FLY BOY I.N.C ambapo ameshabadili jina na kuwa Kizz Daniel.

Hata katika mitandao yake ya kijamii, tayari ameshaanza kupatikana kwa jina hilo jipy
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad