Mtatiro Ahoji Mamlaka ya Msigwa Ikulu "CCM Ina Msemaji Wake Kwanini Mambo ya CCM Yatangazwe Ikulu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtatiro Ahoji Mamlaka ya Msigwa Ikulu "CCM Ina Msemaji Wake Kwanini Mambo ya CCM Yatangazwe Ikulu"
Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu wa zamani, Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM (NEC).

 Hata hivyo taarifa hiyo  iliyotumwa  saa nane usiku wa kuamkia leo Mei 25, na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ilizua mjadala kwa baadhi ya wanasiasa na wadau wa masuala ya siasa kuhoji mamlaka ya Msemaji wa Ikulu na yale ya Ofisi ya Itikadi na Uenezi ya CCM.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, upande wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif, Julius Mtatiro, amesema kitendo cha Msemaji wa Ikulu (Mtumishi wa Serikali) kutangaza vikao vya CCM na uteuzi wa wajumbe wa vikao vya CCM ni hatari.

“Watanzania wanalazimishwa kukubali kuwa watumishi wa Serikali ni watumishi wa CCM. CCM ina msemaji wake lakini mambo ya CCM yanatangazwa na Ikulu.” amesema



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad