Nandy ni Dada Yangu Siwezi Kumuita 'Ex' Wangu- Bill Nass

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nandy ni Dada Yangu Siwezi Kumuita 'Ex' Wangu- Bill Nass
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Billnass amesema kuwa mwanadada aliyewahi kuwa nae katika mahusaiano ya kimapenzi Nandy ni kama dada yake kwakuwa uhusiano wao uliisha kitambo.


Billnass amefunguka hayo kupitia eNewz ya East Africa Television ambapo amesema kuwa hawezi kumuita mwanadada huyo ‘Ex’ wake kwakuwa waliachana kitambo na mahusiano yake hayakudumu muda mrefu.

“Nandy ni dada yangu kibusara siwezi kumuita 'Ex' wangu kwakuwa nilivyoachana nae nimeingia kwenye mahusiano na wasichana wawili tofauti hivyo historia hiyo imekuwa ya zamani sana”.

Ameendelea kusema kuwa jina hilo ameliona kuwa ndio lenye heshima zaidi kwa wakati huu, msikilize hapo chini Billnas akifunguka zaidi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad